Hivi hii ni nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii ni nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Papa Mopao, Jun 5, 2011.

 1. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Mvulana akitokewa na msichana au akibigiwa simu na msichana moyo unashtuka paaa!! Hivi hii ni nini hasa?

  NB: Hapo ni baada ya kufahamiana kwa kipindi kifupi.
   
 2. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,192
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  moyo unaruka kichurachura siyo,
  mambo ya love chemistry tu hamna zaid
   
 3. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,524
  Likes Received: 1,005
  Trophy Points: 280
  Daah! hiyo kwangu haipo huwa nashtuka tena sana tu nikipigiwa na mtu anayenidai, tena usiombe awe baba mwenye nyumba halafu muda umekaribia na mambo hayaeleweki. Tena unaweza kukuta tumbo linaunguruma kabisa au unabanwa na haja ndogo.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0

  msichana mvulana msichana mvulana...wala sjaelewa..nan akimpigia nan.....
   
 5. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  nimerudia weee hata sielewi
   
 6. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  FL na Rose1980! Nimerekebisha mada jamani, samahanini kwa kuwakwaza!
   
Loading...