Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
614
802
Wadau nisaidieni kidogo, nimezunguka maduka mengi sana kuna kaduka flani kamejificha, nimefanikiwa kuipata hii bidhaa lakini sina hakika kama ndo hand sanitizer.

Naomba wataalamu wanisaidie kwenye hili!

Ahsante



Sent using Jamii Forums mobile app


Baadhi ya Michango

View attachment 1391271mkaamweusi tafuta hiyo mwaya...hiyo uliyopost ni sabuni tena zinauzwaga elfu 3. Si ajabu hata wamekupiga

============

 
Ndio iyo iyo mkuu. Ila sabuni ya kawaida inafanya kazi fresh tu. Nenda shop nunua sabuni safi ya kuogea. Nawa mikono.
Hio sio sanitizer. Hio ni sabuni ya maji.
 
Hiyo sio sanitiser,ni sabuni ya maji,sanitiser huwa ni maji maji ambayo ukipaka kwenye mikono haina haja ya maji ili kusafisha,yenyewe yatosha na hukauka mkononi ndani ya sekunde chache...kwa kuzuia corona tafuta sanitizer yenye alcohol angalau asilimia sitini.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…