Ok,cha kufanya tumia njia hizo hapo kumbembeleza kwa vile mnapendana yataisha ila hata kama uko busy tafuta dk moja tu ya kumjulia hali.mkuu,mawasiliano yangu ya mwisho ndo yalikua ya kuagana,nkamwambia nxt day me ntachomoka 2 dar,bt nimefka huku nkawa busy kdogo na mambo ya shule,nkajkuta cku znakatka bila kumcheki!
Ok,cha kufanya tumia njia hizo hapo kumbembeleza kwa vile mnapendana yataisha ila hata kama uko busy tafuta dk moja tu ya kumjulia hali.
2likutana mtaani.
Sasa sio muda wa kulaumiana au kushindana rekebisha kwanza hali ya hewa,then mambo yakishakaa vizuri mwambia kuwa nae anao wajibu wa kukutafuta coz inawezekana umemzoesha wewe ndio unamuanza siku zote,kwa vile naamini kwa sasa yeye hajitambui kama alikosea anachoona ni wewe una makosa na si yeye.lakni mkuu,me kilicho nichosha zaidi,ni mbona na yeye hakufanyaga utaratbu wa kunichek,vp kama ngekuwa nimepata let say ajali,ingekuaje?
ndo nimuanzaje sasa??maana kanambia ''ts Over'' nd anantakia ol the bst thngz in my life.
alikua anakupima huyo jitahidi kuongea naye face2face maana sms au call muda mwingine sio nzuri coz huoni expression ya mtu mbembeleze mtoto huyo
Mkuu sidhani kama anajua ni nini unafanya na ulikuw akatika mazingira gani kukosa mawasiliano kwa wiki moja iwe sababu kubwa ya wewe na yeye kutengana
May be aliaccumulate matatizo kwa muda mrefu sana au kuna kitu kimepita hapo kati kati yako na wewe hili la kukosa mawasiliano likaja tibua kila kitu
Jaribu kumpa muda wa kucalm down na then mtafutie nafasi ujue kisa ni nini na wewe pia uwe na sababu imara za kwa nini hukuwasiliana nae kwa wiki nzima
mkuu,me nimekuja kupga supp huku dar na yeye yuko arusha!
mkuu,me nimekuja kupga supp huku dar na yeye yuko arusha!
mkuu,me nimekuja kupga supp huku dar na yeye yuko arusha!