frank omary
Member
- Jan 18, 2019
- 39
- 9
Uko ndo kupigwa kwenyewe babaZajioni wana jamvi juzi nilituma maombi ya kazi somewhere ila leo nimepokea email yao sasa ichi kipengele cha kutuma pesa apa 10000 kama bond ni kweli au ndo kupigwa?View attachment 999235
Sent using Jamii Forums mobile app
Inna anakusalimia mkuu![emoji4][emoji4][emoji4]nikwambie kitu, umelala upo ndotoni umeona choo, huo ni mtego
Ukienda wapi sasa??Ila wamesema ni refunded fee, kwahiyo ukienda unarudishiwa pesa yako but usipoenda utakuwa ni sawa na kuwapa pesa ya mboga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda wapi sasa??
Unajua location zao ziliko?
Na Kama unajua bas ni bora uende physically ukawaulize
Namba ndio inamaanisha hakuna utapeli?
tuma af tupe mrejesho