Hivi hii kozi ya urban and regional planning ndio ikoje?

Habar wadau,hivi ni kweli watu wa aliyesomea urban and regional planning,hawaruhusiwi kudesign nyumba yenye gorofa,wenyew wanaruhusiwa kudesign nyumba ambayo isiyo na gorofa.
 
Habar wadau,hivi ni kweli watu wa aliyesomea urban and regional planning,hawaruhusiwi kudesign nyumba yenye gorofa,wenyew wanaruhusiwa kudesign nyumba ambaya haina gorofa.
 
Ninavyojua hata choo hauruhusiwi kudesign maana sio taaluma yako,ww ni kupangilia mji tu mf.nyumba za makazi zikae wapi,viwanda vikae wapi,masoko yakae wapi,nyumba za ibada zikae wapi,sehemu za wazi zikae wapi n.k
 
So ghorofa tu...
Haruhusiwi ku-design nyumba yoyote ile kabisa.
Habar wadau,hivi ni kweli watu wa aliyesomea urban and regional planning,hawaruhusiwi kudesign nyumba yenye gorofa,wenyew wanaruhusiwa kudesign nyumba ambaya haina gorofa.
 
Ninavyojua hata choo hauruhusiwi kudesign maana sio taaluma yako,ww ni kupangilia mji tu mf.nyumba za makazi zikae wapi,viwanda vikae wapi,masoko yakae wapi,nyumba za ibada zikae wapi,sehemu za wazi zikae wapi n.k
eti ata choo hahaha
 
Leo imenibidi nicheke kwa kweli,zile koz ambazo watu wanazidharau sasa hivi kumbe ndio dili,kama koz za utendaji wa kata,mtaa au kijij.
 
Kwani hili linachekesha kwani wewe unaishi nchi gani? Watu na degree zao wako interview ya kupata nafasi kufundisha shule za Primary za English medium, tena huo ndo mwanzo utaona mengi mpaka mindset zentu zibandilika ili tuondowe dhana ya kuajiliwa na tujiajili wenyewe.
 
Kuna chuo kinachofundisha utendaji wa kata na vijiji?
Leo imenibidi nicheke kwa kweli,zile koz ambazo watu wanazidharau sasa hivi kumbe ndio dili,kama koz za utendaji wa kata,mtaa au kijij.
 
Habar wadau,kuna koz ambayo kwa upande wangu sielew inayotolew na chuo fulan hiv,kam hii koz inayoitwa bacherol of development finance and investment hii koz kweli NBAA wanaitambua kweli au n magumashi tu,alafu pia kweny issue ya ajira sijawai kuiona kwamba,wanatak watu wa hii koz,alafu pia hik hiki chuo kinatoa koz ya bacherol of business planning and management sasa graduate wa hii koz mtu anafany kaz kama mtu wa bisiness administration au inakuaje maan nayo siielewi kabisa hat kweny issue ya ajira nayo sidhan km wanaiandikaga hii kozi.au nyie wadau mnazielew hiz koz.
 
Back
Top Bottom