MZEE WA KADAWA
Member
- Apr 1, 2013
- 11
- 2
Kama hawa jamaa ni matapeli basi mtandao wao ni wa-kimataifa.hao jamaa kila mwaka wanaibia watu, hivi, hivi kwanini watu hawaskii? Mwambie hawapeleke police....
Hawajawahi kuajiri tangu kipindi hicho? I mean, kwenye kundi lenu hakuna waliochukuliwa na kuanza kazi?Hao jamaa wameanza hapo mwaka 2009 Hadith ni wazungu wanakuja Mara wamekufa wanakuja wengine Mimi walinila pesa mwezi wa 3 mwaka Jana hadi Leo wazungu watakuja yani wengi wanalizwa pale na Kama ni demu mzuri wanapiga copy na kazi utasibiri milele
Wadau kuna wadau wanahusiana na mambo ya ukimwi wako jiji la Mwanza watu wamesainishwa mkataba na kulipia mtihani 30,0000, kitambulisho 5,000. Vipi kuna uhalali kweli wanajiita HIV international, kuna ndugu yangu kasaini mkataba anaambiwa magari yapo bandarini lakini hawana hata viti kwenye ofisi.
Wadau hebu tuchangie mawazo yenu kidogo najua kuna walioingia mkenge kama ndugu yangu na wanawaambia watu kwenda Congo
Hawajawahi kuajiri tangu kipindi hicho? I mean, kwenye kundi lenu hakuna waliochukuliwa na kuanza kazi?
Yaan hawa majamaa wameanza utapeli mwaka 2010,wanaitwa Mr.Single(Accountant) na mwingine anajiita Chief...mimi walinitapeli laki tatu wakanipa mkataba mpaka leo sijaipata hiyo kazi...namba zao za simu ni 0767994800 na nyingine ni 0655994800.Tunaomba wahusika wote wawe makini ikiwezekana wawapeleke kwenye vyombo vinavyohusika.Huo mwaka 2010 tuliacha kazi baada ya kusaini mkataba lakini tulibakia mwanza kuwa ombaomba.
Yupo jamaa anajiita chief na mwajiri anaitwa tinga Mhasibu anaitwa Mariam kashindi kirunguye hawa ndio top ya matapeli walioshondikana
Unafikiri huko Azania alikuwa anapata pesa kama anayopiga sasa hivi!Maskini Tingaaaa, huyu jamaa nimemaliza naye form four mwaka 2002 pale Thaqaafa Secondary Mwanza. Kumbe ndo deal zake hizi siku hizi!! Alafu sijui hawa watu ni mapepo yanawasumbua kama huyu Tinga ana degree yake ya HR na alikuwaga anafanya kazi Azania bank sijui nini kilimsibu akaacha kazi ya bank na kujiingiza kwenye hizi mambo haram.
Unafikiri huko Azania alikuwa anapata pesa kama anayopiga sasa hivi!
Kuna bosi wangu walimpiga M1 mwaka 2011