Hivi hii ishawahi kukutokea?

haya na ww ulipotelea wapi?
 
Nitafsirie hilo neno la mwanzo kabla sijasema kama imentokea au la

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Thanks angel, hiyo avatar ina ujumbe ndani, asante kwa kuuelewa!

Bila shaka utaufanyia kazi...

kwema lakini? habari za sasa besti?

Poa kabisa. Uspotee sn Besty. Sote tuko busy, Ila hua tunajitahd tupate wasaa wa kuja huku maskan walau siku ikamilike vizuri
 
ntajitahidi kuwa kwa hewa besti,

usijali kuhusu hilo! ila ukinimiss sana bana tuma basi hata PM nawe!!!

do that buddy... we speak through the private window sometimes! Goodnight
 
Nasubiria range rover langu au kontena bado haijatoka bandarini?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nasubiria range rover langu au kontena bado haijatoka bandarini?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

andaa dola 169,000 za kimarekani, hiyo ndio bei halisi ya range rover kwa sasa!

hapo bado custom costs kibao!... karibu sana bandarini....!
 
Khaaaaa we si umesema wananinulia dadaako tena imekuaje yakhe? Kwa cost hiyo bora niendelee kuendesha baiskeli yangu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…