interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Si kwa Kaka na Dada tu, kiujumla haitakiwi kwa 100% mazoea baina ya Mwanaume na Mwanamke, hujiulizi kwanini Wazee wetu wa zamani walitukataza kabisa, au hujui hao ni viumbe dhaifu?kwa taarifa yako hamna mazoea mabaya kama mtoto wa kike kwa mwanaume,alafu uitwe braza..ok,pia unaona kabisa huyu ni kama sister kwako,then bado uitwe bro???kweli???[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubaya Wanawake ni viumbe dhaifu sana na hutokana na huruma nyingi walizojaliwa kuliko Wanaume, so Mwanaume asipojitambua anaweza kujikuta akaduu na ndugu yake yeyote yule wa kike.Ubaya uko wapi eti..
Bonge la hoja.Pale unapoongea kiudhaifu huwa sielewi statement yako mkuu
EeeehhhLaana iliyompata Abisalom kuduu na Dada yake wa damu ktk Biblia inamnyemelea huyo, na nimeshamuahidi nampeleka kuozea Segerea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie sio dhaifuUbaya Wanawake ni viumbe dhaifu sana na hutokana na huruma nyingi walizojaliwa kuliko Wanaume, so Mwanaume asipojitambua anaweza kujikuta akaduu na ndugu yake yeyote yule wa kike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo naamka
Hahahha niombee sana mkuu..kwa sababu unayoyaongea nayaona ona vile asewLaana iliyompata Abisalom kuduu na Dada yake wa damu ktk Biblia inamnyemelea huyo, na nimeshamuahidi nampeleka kuozea Segerea.
Sent using Jamii Forums mobile app
exactly kabisaSi kwa Kaka na Dada tu, kiujumla haitakiwi kwa 100% mazoea baina ya Mwanaume na Mwanamke, hujiulizi kwanini Wazee wetu wa zamani walitukataza kabisa, au hujui hao ni viumbe dhaifu?
Sent using Jamii Forums mobile app
yaani mkuu najikuta nipo kwenye wakati mgumu sana,kuna watoto wa ndugu zangu,kuna dada zangu..yaani mpaka ninaowaheshimu..mazoea hayakati dah!
Nitaanza zoezi la kutembeza bakora coz no way[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda utafikaPole sana, utu uzima siyo kuwa mpole wakati wote kama mmbwa koko, wakati mwingine unatakiwa kuwa kama mbogo.
"Time is wealthy when it's timed consecutively"
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu aliyemuita hakusikia sasa,
Asante kwa kunielewa, kila la heri na hilo kuhusu upole na ukali hata ktk "kuishi na Wanawake kwa akili ktk ndoa" linakubalika.
tupo pamojaAsante kwa kunielewa, kila la heri na hilo kuhusu upole na ukali hata ktk "kuishi na Wanawake kwa akili ktk ndoa" linakubalika.
"Time is wealthy when it's timed consecutively"
Sent using Jamii Forums mobile app
Nisamehe
Umesema nikutake radhi mkuu
Lakini ulipaswa kuniuliza tokana na kosa gani, au unaona ni sahihi kabisa nikikubali kukusamehe pasipo kukujuza ulichonikosea?Umesema nikutake radhi mkuu