[emoji23][emoji23][emoji23]Wapi huko?Ila nimeghaili sitaki tena mbegu yako nimeona uko unataka kuitoa
hahah... owky insta babe [emoji23][emoji23]Insta babe nikugeukie hapa kweli nitakuja kukugeukia uko
Mtekaji kaenda wapi usiku huu unapatikana
[emoji23][emoji23][emoji23]Uliwe na hela juu utoe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nijikute tu natoa hela mxxiuee
Kivip mkuuPale unapoongea kiudhaifu huwa sielewi statement yako mkuu
Hahhaha huu mwezi bila mtekaji kweli wakina cute si ndio watajisevia kama nakuona mmhahah... owky insta babe [emoji23][emoji23]
mtekaji kasafiri leo aisee nahisi mwezi mzima huu ntakuwa bila mtekaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha acha ubinafsi wewe mke wa mtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimekuona uko na ledada nimeghaili siitaki tena mbegu yako mie acha nipambane na mwenye sura ngumu wangu tu
Ebu shangaa utamu tupate wote woiiii naanzaje shunie mm nijikute tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niache tu na ubinafsi wangu tu sura ngumu wangu wala hakuna wa kumgombania nipo nae mm tu wa kwangu peke yangu
hahahaha... wakina cute namba zao nilifuta bhana sikuhizi mimi mtu wa maombi [emoji23]Hahhaha huu mwezi bila mtekaji kweli wakina cute si ndio watajisevia kama nakuona mm
Wewe utaenjoy zaidi alafu itabudi nikae kama wiki mbili hivi bao liive vizuriEbu shangaa utamu tupate wote woiiii naanzaje shunie mm nijikute tu
Mh wewe insta babe ningekuwa na ugeni na wewe sawa lakini si unajua vile nakujua acha nimpe pole mtekaji tuhahahaha... wakina cute namba zao nilifuta bhana sikuhizi mimi mtu wa maombi [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu ngoja kwanza ukae week mbili kivipi yaani we baba wa mtoto mzuriWewe utaenjoy zaidi alafu itabudi nikae kama wiki mbili hivi bao liive vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi nitakupa bure kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niache tu na ubinafsi wangu tu sura ngumu wangu wala hakuna wa kumgombania nipo nae mm tu wa kwangu peke yangu
Haha si ili mbegu ziive vizuriEbu ngoja kwanza ukae week mbili kivipi yaani we baba wa mtoto mzuri
hahaha insta babe umpe pole mtekaji ya nini akati mm nimeokoka siku hizi..... yani hapa unatakiwa unipe pole mimi maana sijui huko mtekaji atafanya nini [emoji23]Mh wewe insta babe ningekuwa na ugeni na wewe sawa lakini si unajua vile nakujua acha nimpe pole mtekaji tu
Sitaki we baba wa mtoto mzuri ebu niambie mtoto wetu anaitwa nani ili niwe nakuita baba fulani
Ebu uko
Hahahhaha wewe kuokoka huwezi na pole sikupi acha nimpe mtekaji tu kwa kukuachia uhuruhahaha insta babe umpe pole mtekaji ya nini akati mm nimeokoka siku hizi..... yani hapa unatakiwa unipe pole mimi maana sijui huko mtekaji atafanya nini [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani insta babe hujui nipo katika siku 40 za kurepent hapa nimebakiza 35Hahahhaha wewe kuokoka huwezi na pole sikupi acha nimpe mtekaji tu kwa kukuachia uhuru