[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa nguvu huyo wa kuuza mbegu sijamuona mm
Ubaya uko wapi eti..kwa taarifa yako hamna mazoea mabaya kama mtoto wa kike kwa mwanaume,alafu uitwe braza..ok,pia unaona kabisa huyu ni kama sister kwako,then bado uitwe bro???kweli???[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unaanzaje kuuza mbegu ukimbie fursa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hutaki nikuwe mkwe wako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe umenishinda tabia
Uanze tuHahahahahahaha mm nataka kuwa mama wa kambo wa mtoto cc mshipa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Fursa ya nini?Wewe unaanzaje kuuza mbegu ukimbie fursa
Mpaka ushike mimba uzae akue huyu yupo mbaliHutaki nikuwe mkwe wako
Umeanza kwa nn haujiamini we mpare
yani nikajua insta babe amegeuka doooooh kumbe badoWewe unaanzaje kuuza mbegu ukimbie fursa
Fursa ya kutaka mbegu yako [emoji1732][emoji1732]
Insta babe nikugeukie hapa kweli nitakuja kukugeukia uko
Uje na hela kabisaFursa ya kutaka mbegu yako [emoji1732][emoji1732]
Ila nimeghaili sitaki tena mbegu yako nimeona uko unataka kuitoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nijikute tu natoa hela mxxiuee