sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 834
wanawake wengi huwa wana saidia ndugu zao au wengine huwa wana fungua miradi kimya kimya wegine huwa wanajenga wengine huwa wana honga wengine huwa wana weka akiba, maana kuna akili moja wanakuwa nayo kuwa mume akikuacha keo au kesho una kuwa na kaakiba kako angalau na biashara.