Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,250
- 2,870
Acha roho mbaya,Mungu baba mwenye enzi hapendi.Si hongi asilani
Acha roho mbaya,Mungu baba mwenye enzi hapendi.Si hongi asilani
VikobaKuna swali huwa najiuliza hela za wanawake awe mke, mchumba au changudoa huwa zinaenda wapi? wanapewa hela , wanapokea mishahara, wanahongwa ila ataendelea kukutegemea kwa kila kitu hata simu atakubip.bado sielewi!!!!
Mkuu hayajakupata. Temea chini, pia uelewe kuwa "haujafa haujaumbika".Si hongi asilani
Ahaisedon't mind my kipato and business aslo!!! hujui mnaboa watu wanakaa kimya halafu mnasema kuna mfumo dume!!mnauleta wenyewe!!!
Kama vile?Matumizi si yale yale tu yakila siku
Agiza soda nakuja kulipaTuchukulie mshahara wa wastani labda wa Sh. Laki 7 hivi..matumizi yatakua ni kwenda Saluni, kunua nguo, perfume, viatu, mikoba mizuri, kuweka bundle za kucheki umbea instagram, kununua matoleo mapya ya simu (hapa boyfriend anaongeza hela) kupanda bajaj, au uber hata umbali wa mita 250, chakula ni kula kwa mzazi, kodi ya nyumba hakuna, kulala ni nyumbani, Kutoka out boyfriend analipa bill yote
Ila kuna ukweli hapa maana fashion ikitoka lazma mnunue....Tunataka kupendeza kuna Brazilian hair, hujalipia gharama ya ususi, kiatu, gauni, handbag, perfume, make up, manicure ni vingi
Kuna swali huwa najiuliza hela za wanawake awe mke, mchumba au changudoa huwa zinaenda wapi? Wanapewa hela, wanapokea mishahara, wanahongwa ila ataendelea kukutegemea kwa kila kitu hata simu atakubip bado sielewi.
Ngoja nikuandalie fungu lakoJamani hela zetu za kwetu za kwenu za kwetu [emoji23]
wewe binti nitafute hela zangu kwa shida uende ukanunulie minywele ya marehemu inayonuka mizoga,nywele za 350,000 za marehemu toka brazil ama kweli shida mnayo!!!Kijana ukitaka kujua hayo mambo utafeli we tafuta zako uendelee kuhonga mambo ya zetu tunatumiaje tuachie wenyewe ila pia usisahau kuna Peruvian,Brazilian hair 350,000
mimi kuna jamaa yangu alikuwa anaka na mkewe ila alikuwa hajawai kuona pesa ya mke wake hata kumi na kila akimuuliza anasema hana pesa, ila nguo mpya alikuwa ananunua, so kila kitu ilikuwa ni jamaa jamaa akaona huu ni ujinga akamtupa chini
hela yenu ya vicoba huwa inaenda wapiVikoba
Mkuu, haipo sababu yaku Generalize.Kuna swali huwa najiuliza hela za wanawake awe mke, mchumba au changudoa huwa zinaenda wapi? Wanapewa hela, wanapokea mishahara, wanahongwa ila ataendelea kukutegemea kwa kila kitu hata simu atakubip bado sielewi.
mwenye roho mbaya ni wewe ambaye kitu umepewa bure na Mungu unataka mpaka ninunue!! wakati tunafurahi wote kwa hapa mademu wa kizungu ni wazuri kuliko wa Kiswahili kwani hawaangalii hela!!Acha roho mbaya,Mungu baba mwenye enzi hapendi.