Abu_yazid
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 3,435
- 4,243
Haya mazoea ya vyuo vyetu vya kilimo na mifugo ambavyo vpo chini ya wizara ya kilimo na mifugo,, vina matatizo makubwa sana,, tunaomba wakaguzi wa hivi vyuo mpite kuvikagua katika suala uendeshwaji wake,, wanafunzi wanalima maeneo makubwa,, kupanda,, kupalilia mazao,, yaani mwanafunzi unapewa eneo kubwa zaidi ya ROBO HEKA AMBAZO KIMSINGI NDIO ENEO ANALOTAKIWA APEWE MWANAFUNZI KULIFANYIA KAZI,, KIUKWELI MPITE KWENYE HIVI VYUO MVIkAGUE tena,, inakera kwakweli