Msalagambwe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 713
- 263
Furaha ya kweli inatoka ndani ya mtu.
Huzuni ya kweli pia inatoka ndani ya mtu
Mambo yatokayo ndani yako ni mambo ambayo una uwezo kwa 100% wa kuya Control.
Nikisema ndani nina maana ndani ya moyo wako,nafsi yako au roho yako.
Vitu vilivyoko nje vinzweza kutupa furaha au huzuni kutokana na frame of reference tuliyo ijenga ndani ya nafsi zetu.
Huwezi ona uzuri wa kitu kama huna reference ya uzuri ndani yako.
Huwezi kuona kitu cha kutisha kama huna reference ya utisho ndani yako.
Hakuna mtu anayezaliwa na reference ya uzuri au ubaya wa kitu,reference zinajengwa hatua kwa hatua taratibu kabisa.
Wakati mwingine reference zinajengwa ghafla kwa matukio mazito ya furaha au huzuni maishani mwetu,
Hii inaniambia kitu kimoja;
Point of reference ndani ya moyo wako ni kitu kinachoweza kubadirishwa taratibu au ghafla.
Brother huzuni uliyonayo umeijenga mwenyewe, simanzi uliyonayo umeijenga mwenyewe, mahangaiko unayopata umeyajenga mwenyewe. YANAWEZA KUBOMOLEWA NA KUFUTWA KABISA NAFSINI MWAKO.
Sina maana kwamba kufuta frame of reference moyoni mwako ni jambo rahisi lakini nasema ni jambo linalo wezekana na lipo ndani ya uwezo wa kila mtu.
Mambo yanayo weza kuzuia mtu kushindwa kufuta frame of reference mbaya;
Marafiki na maneno yao.
Kulinda heshima yako mbele za watu
Aibu ya kuonekana umepungukiwa
Ignorance, kukosa maarifa
Mawazo ya yaliyojiuma mkia
kukata tamaa na kuweka hitimisho moyoni
kuamini kwamba upande wa pili unawaza kama wewe
Ubinafsi na roho ya kumuliki nafsi nyingine
Imani
Kaa chini jiulize kwa kuzingatia vipengele hivyo, rudisha furaha yako songa mbele.