Hivi haya maneno nitweli jamani

Hivi haya maneno nitweli jamani

Wakuu imekula kwangu nimeunga ikaonekana kwamba nimefanikiwa lakini nilipojaribu kupiga simu naambiwa sina salio la kutosha nikitumia internet haiconnect na hata sms nazo ni zero kabisa kwa kweli hawa jamaa noma

kwani unaungaje au tuseme unatumia neno gani ili na sie tujaribu hiyo pata potea
 
kwani unaungaje au tuseme unatumia neno gani ili na sie tujaribu hiyo pata potea

Kuunga inaonekana mpaka wakwambie wenyewe kiasi cha kuunga, hata jana wameniambia tena kujiunga vilevile kama mara ya kwanza lakini nimeishaogopa kulambwa hela bila mafanikio sijui kwa nini wanafanya hivyo
 
Hapana hiyo inayokuja ni taarifa ambayo itakufanya wewe ujitayarishe na hiyo uduma kisha itakuja sms inayosema weka pesa kiasi fulani upate fulani. Mfano mimi ilikuja sms iliyosema nitume sms yenye number 1 watakata 800 kisha nitapewa 8000 baada ya masaa manne ikaja sms ikisewa weka vocha ya shiling 800 nipewe 8000 ndio nikaweka 1000. Ikaja sms ikisema hongera umezawadiwa muda wa maongezi wa shilingi 8000 kuangalia salio piga *102*10#. Nilipopiga nikaikuta ila tatizo lake ni muda wa maongezi voda-voda tu, no sms, no internet. Na haijiungi na huduma yoyote ile wala kutuma sms
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom