SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Ni kweli hiyo kitu, hata mimi nimepata msg inayofanana na hiyo. Naona ni majibu kwa mtandao wa Tg wao wana promo wanaaiita tg KABANG, ila tg ni siku 7 na vd ni siku 2.
wait sjaelewa hapa jamaa hapo juu amesema 600 wao tigo ni 9000. So ni jamaa kakosea ni elfu sita au ni kweli ni mia sita?
oya ee super ndo kusema we tajiri au, mi nimetumiwa yangu nitume neno 1 kwena 15030 nitakatwa sh 50, ntapewa 500 ya kupiga voda kwenda voda, ntapewa sms na internet sku saba.
Hawajaspecify internet kiasi gani wala sms ngap ngoja mi naunga ntawapa feedback
Dah, voda kweli kazi ni kwako kwa upload speed 5.7mbs lol sijui tunataka nini tena.
Funguka mkuu tunajua kwamba voda wana speed na shida yetu tunataka kujua kwamba hiyo ofa ni unlimited au limited
Mkuu sijajua, unaweza kukuta ni kama zile 2GB za wali ila unatumia ndani ya siku7.
Tuma neno 1 kwenda 15030 kwa gharama ya Tsh600 na upate Tsh6000 muda wa maongezi kupiga Voda, tuma SMS na internet kwa siku 7. Ofa hii ni hadi 17/03/2013. From: 15030
11:07 4.3.13
Kama kuna mtu aliyekwishafanya hivyo, je, alipewa kiasi gani cha bundle?
Haupo peke yako kamanda!!!​hizi mambo mie hua zinanipita kila siku, sijui voda wana bifu na mie?
hata mi nafikiri voda wana number zao maalum za kugawa offa. haipiti siku mbili hawajanitumia txt ya offa kwenye line yangu ya mawasiliano, ila ambayo ninatumia kwa modem sijawai kupata offer.Haupo peke yako kamanda!!! Mie pia hizi offer nazisikiaga hewani tu so nadhani wana watu wao maalum hawa voda...!!