Hivi hawa watu wako wapi?

K wapo wengi humu ni vizuri ukaliandika jina lake lote ajulikane

 
Watu hupotea na kurejea hapa...
 
mi namtafuta Kaunga........
 
Last edited by a moderator:
True, alikuwa ghafla sana, ni too nice, hakufuata mama yake.

Yaani alipotea ghafla bin vuu. Nilikuwa napenda namna yake ya kutazama mambo; ingawa alikuwa somehow too nice.
 
mi namtafuta Kaunga........

Hahahah, utakuwa umevaa miwani mieusi ndio maana hunioni kaunga mweusi mie.

Ndipo tu my comffessor. Labda kwa vile dhambi zisizokuwa za maana nimeziacha.
 
Last edited by a moderator:
Ila alikuwa mkaaaaali sa zingine!
Mi nimemiss zile tshirt same
I'm His
Hes Mine!
Blaine bana!

Alikuwa anakasirika watu wakicomment kuhusu T shirt yake, ilhali kubadilisha avatar hataki. He had empathy kwa homos.
 
Last edited by a moderator:
Hahahah, utakuwa umevaa miwani mieusi ndio maana hunioni kaunga mweusi mie.

Ndipo tu my comffessor. Labda kwa vile dhambi zisizokuwa za maana nimeziacha.

Si unajua habari ya kondoo mia..
 
Alikuwa anakasirika watu wakicomment kuhusu T shirt yake, ilhali kubadilisha avatar hataki. He had empathy kwa homos.
Yaaani yule dogo!
Ila kilikuwa kiiiiichwa!
Blaine you are missed kwa kweli ukuje tu japo utupe hi!
The Boss karudi kwao tabora huko hakuna network
Promise you booooonge la hug! .
 
Last edited by a moderator:
Yaaani yule dogo!
Ila kilikuwa kiiiiichwa!
Blaine you are missed kwa kweli ukuje tu japo utupe hi!
The Boss karudi kwao tabora huko hakuna network
Promise you booooonge la hug! .
The Boss atakuwa kachepushwa, nimetoka kwao juzi hajaonekana mwaka wa 13 sasa. Ukimuona mwambie asali sh 80,000 kwa lita 20.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…