Huwa wanavutiwa zaidi mshiko na uhakika wa maisha mazuri baada ya ndoa. Wewe unaweza ku-provide hayo?Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.
waschana/wachumba wanapenda unachokipenda wewe ingawa sio wote!!..kama umeshindwa kutambua wewe unapendelea nini basi itakuwa kazi kumpata mmoja wapo....
Mimi ni mvulana mwenye umri wa miaka 25, nimemaliza chuo na ninafanya kazi na huwa sipendi kujikweza kwa watu, Nimetafuta sana mchumba ili kama tutaendana tufanye maisha pamoja lakini cha ajabu kila nikitupa ndoana sifanikiwi, kiasi ambacho huwa najiuliza hivi hawa wasichana huwa wanavutiwa na nini? Niombeni ushauri wanajf.