Hivi hawa wanawake wa kilokole(wafia dini) wana matatizo gani?

Huyo ni mchungaji wako wewe si wachungaji wote. Ndo maana nili.sihi mtoa mada asipost vitu kwa jazba. Mfano nikikuuliza ww niambie ni wachungaji wa makanisa yapi tutajie hapa ambao ukitaka huduma ya kufunga ndoa utakataliwa kisa mchungaji hajarudhika na huyo mchumba wako. Hebu tutajie hapa tuache kuongea vitu kwa jazba na hisia. Yamkini tukawa tunawapinga kumbe mmeshafanya tafiti zenu na mda data za muaminika

Post sent using JamiiForums mobile app

Mkuu hapo nani kapaniki mtoa mada au wewe!?

Najaribu kusoma mada na hii moment Yako nakosa jibuu..
 
Huyo ni mchungaji wako wewe si wachungaji wote. Ndo maana nili.sihi mtoa mada asipost vitu kwa jazba. Mfano nikikuuliza ww niambie ni wachungaji wa makanisa yapi tutajie hapa ambao ukitaka huduma ya kufunga ndoa utakataliwa kisa mchungaji hajarudhika na huyo mchumba wako. Hebu tutajie hapa tuache kuongea vitu kwa jazba na hisia. Yamkini tukawa tunawapinga kumbe mmeshafanya tafiti zenu na mda data za muaminika

Post sent using JamiiForums mobile app
Hapa content nilotaka kuisema ni ile ya baadhi yao kuweka vipingamizi mara huyo ana mambo ya kimataifa mara hili mara lile

Sema wachungaji wengi wanapenda waumini wanaojikombakomba kwao.. Nadhani umeelewa namaanisha nini..

Cc Smart911
 
kwa kujiona wakamilifu kuliko yeyote hawajambo..
kuna walokole hata unyenyekevu hawaujui..full majivuno

nina binti naishi nae nyumba moja ana gubu na mimi hadi nashangaa.sijamkosea
lakini jpili hakos kanisan wanaimba mapambio hadi wanalia..

Kama binti mwingine hivohivo kanisani mstari wa mbele haswaa mambo yake nyumbani uwiii kwanza kwao katoroka anaishi kwa jirani member wa kanisa lao Full kukesha kuongea na wanaume jamani ulokole umeingiliwa.

maneno wanayolishwa na wachungaji uchwara huku makanisani ndo tatizo..
huyo hapo anamuona mch ndo mtu wa maana halafu waliomzaa anawaona mavi tu.
 
maneno wanayolishwa na wachungaji uchwara huku makanisani ndo tatizo..
huyo hapo anamuona mch ndo mtu wa maana halafu waliomzaa anawaona mavi tu.
Wee acha tu mamito ni balaa tu huu ulokole huu mhmmhmhmhmhmhmhmh

Wachungaji wenyewe wanawaza pesa tu..... Kama sio pesa uwe mbelembele kwenye shughuli za kikanisa...

Cc Smart911
 
Kuna kamoja nili kagegeda kama masihara nikastuka mkuyati wangu unahamishiwa tundu jirani nikakausha nilivyo maliza kaka shukuru kakasepa sasa nikajisemea Kimoyo moyo" haka sikanaimba mpaka kwaya hayo mambo kameyajulia wapi" sasa nakumbuka wakati nakafukuzia kalisumbua sana mpaka kukapata

Post sent using JamiiForums mobile app
Daaaaaah....
Nimecheka mpaka mwisho
 
mi nliwaza nkasema mi sio mjinga kumfaidisha mtu sadaka yangu.
wengi wameshikwa akili mule....hivi how comes waumini wanasali kanisa la mabati wakati mch anatembelea chopa?
Hahahaah usinikumbushe kipindi hiko Nasoma chuo. Kulikua na somo moja la theodicy ( philosophy of God) na comparative religion
Lecture mmoja mkenya sijui alitulisha sumu kwa mambo ya mungu..
Yani nahisi liliniharibu sana hilo somo.. Kuhusu kanisani naendaga vizuri ilaaaa... ( mungu ananiona)

Cc Smart911
 
Hapa content nilotaka kuisema ni ile ya baadhi yao kuweka vipingamizi mara huyo ana mambo ya kimataifa mara hili mara lile

Sema wachungaji wengi wanapenda waumini wanaojikombakomba kwao.. Nadhani umeelewa namaanisha nini..

Cc Smart911
Nakuelewa ila bado unaongea nadharia mambo ya kusadikika ikiwa wewe binafsi huna ushahidi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kweli kasumba hizo wanazo 90% hasa usengenyaji.wanajiona wao wakamilifu kuliko wengine.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
mm ya kwangu ilivunjika bila huruma baada ya mke kuanza kusali makanisa hayo anafululiza mwezi mzima eti yupo mkesha!

Post sent using JamiiForums mobile app
Akitoka hapo anamsingizia shetani.
 
Sio kweli wewe umekutana na matango pori tu,wenzako wa mataifa wana wang'ang'ania mabinti wakilokole lakini mpaka basi ww sijui wa dunia ipi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
nilikuwa nikiona wanashambuliwa nikawa nahamaki saa nyingine napatwa na hasira kusikia wanasemwa vibaya kwani hata mimi ni mpendwa ila nimekuja kugundua kwa wale ninaowajua kuna kaujinga fulani wanao vichwani. Mimi nasema wasemwe tuu hizi tabia ni kweli zipo unakuta wanaolewa na makanisa na kazi za makanisa pamoja na huduma mbalimbali za makanisa badala ya waume wao. Ndoa ya Benny Hinn ilivunjika kwa sababu ya yeye kutokuwa na time na mkewe akaja kukiri mwenyewe 'I WAS MARRIED BY MINISTRY AND I FORGET THAT I HAD MARRIED A WIFE' kabla ya maombi ya wapendwa kuiombea ndoa yake kurudiana, mwangalie na Pastor Chriss Oyakhilome ndoa ilivunjika kifupi hawa dada zetu tabia ni kama hizihizi sasa lazima wafahamu ya kwamba kwa jinsi Mungu anavyotupenda hawezi kusimamia ndoa yenu ivunjike kwa sababu ya ujinga wako kujifanya upo bize sana na kanisa unaacha kuwahudumia watoto, na mumeo kumbuka Mungu ndie aliekupa huyo mume na atakuonesha namna ya kuishi nae usifate mapokeo ya madhehebu yenu. halafu saa nyingine unakuta dhehebu linaongozwa na mchungaji ambaye Un-educated and not civilized anakulazimisha kufanya mambo ya ajabu yanyohatarisha ndoa still unafuata tuu bila kujudge hii ni hatari ndio maana madhehebu mengine Mchungaji lazima awe ana kiwango fulani cha elimu japo sii lazima ila hii huwa inasaidia sana kupunguza ujinga ujinga unaofanyika makanisani saa nyikngine huwa nikiona napatwa na hasira sana wanavyofanya mambo ya ajabu na kufanya jina la Mungu linatukanwa kumbe ni kwa sababu ya ujinga ujinga tuu. hatusemi usifunge kuomba, hatusemi usiende kwenye semina hatusemi usimfate mchungaji unaempenda ila iwe kwa kiasi na ubalance kati ya kanisa na familia ili haya mambo yweze kwenda kwa amani bila ugomvi. Leo hii kila mtu hamtaki mwanamke mlokole kwa sababu hizi wakati nyie ndio mliokuwa wife material. Badilikeni sio wote ila haya yanayosemwa yapo kabisa. Mkipata wanayofanya wanaume walokole yasiyokuwa ya maana nayo yaleteni hapa wabadilike mambo mengine hayahitaji Biblia hata sisi tupo humo ndani na tunaona kabisa hii amefanya ni kwa sababu ya ujinga, hii yuko sawa wala hakuna shida ila wale dada zetu nasema kwa sauti kuu badilikeni.
Ndoa ya pastor Chris imevunjika lini

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kweli wengi wao wanashida sana sana sana

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom