Hivi hawa wanawake wa kilokole(wafia dini) wana matatizo gani?

Hii thread ni ya muhimu sana. Ni kweli kabisa makanisa haya ya dini mpya yamekuwa mzigo sana na shida sana katika jamii zetu. Umesahau kusema kuwa vijana hawa wanafundishwa uvivu. Utashangaa ratiba ya wiki inawafanya waende kanisani almost every day, kama vile wao ni ndege wanaokula matunda ya mitini. Hao manabii wao wanazuka kila leo, wana umri mdogo hivyo hata experience ya maisha hawana, wengi wao wanaanzia hayo mambo wakiwa makapela, wanaishia kuoa waumini wao, wengi wa hao wachungaji wao hawajasoma, hawana kabisa skill za maisha, vijana wanazidi kudidimia na kudhoofi kila kukichwa. Hawana muda wa kutafuta kazi wala kujiendelea, yaani ukiingia huko ndio mwisho. Badala ya kuwafundisha neno la mungu, wanawafundisha kusubiri miujiza, hee jamani hili ni janga. Vijana wanajifunza tabia ya kunyeyekea kwa lengo la kupewa kitu, wamekua watumwa wa waumini wenye kauwezo kidogo, na wengi wa waumini wenye uelewa hawadumu. Ninao uzoefu manake nimesali sana huko, na mimi nilifuata miujiza, tena watumishi hawa wana tamaa za kimwili, wanawatapele waumini wao vitu vya thamani na hasa magari, wengi wao wakianza tu huduma, utashangaa wana magari hata wale wasioweza kuendesha, na wakiazimwa kulirudisha ni shida na ugomvi. Na cha kushangaza wengi wa vijana hawa ni wale ambao wamefeli maisha, wahudumu wa ndani, ndio hasa waliojaa huko, wanawake ambao ndoa zao zimekufa (hawa wengi ni wale walioishia kuingilia ndoa za watu).

Walokole wa kweli wako makanisani:
Bado katika makanisa ya mwanzo, lutheran, pentekoste, roman kunao vijana walishika dini na wanaoamini kabisa, wanasoma shule, wanafanya kazi wanatoa sadaka maana wanacho kipato, wanamuona mungu, hawa ndio wanaochangia hata uchumu wa nchi. leo hii kuna walokole zaidi ya 10m hapa nchini, hebu angalia makanisa yao na michango yao katika jamii, wao wanazidi kuteketea, bali wachungaji wao wanazidi kutajirika, angalia Mzee wa Upako, Mwingira mpaka anagombania mashamba na wananchi Bagamoyo, kakoke sijui kaishia wapi, BG Malisa nasikia kajengewa nyumba ya thamani kubwa wachangiaji wakubwa wakiwa kanisa lake la Dar es Salaam lakini hawajaweza katika miaka yote hii kumjengea mungu kanisa lenye hadhi, wanasali kwenye godown. Mungu anisamehe lakini kwa kweli kazi yake haina watendaji. Sina maana kuwa hakuna unabii hapana kwa kuwa with internet siku hizi tunaona matenda makuu ya mungu yanayofanyika Scoan na mercyland na kwingine pengine mimi najua huko tu, lakini ninachosema usanii umeingia kwenye kazi ya mungu.
Mkuu umezungumza point nataman hata thready yangu niibadilishe niweke maneno yako..ukweli mtupu
 
Tena hawa wakikolea na semina na wachungaji huko, wakirudi home hata waume zao wanawaona kama ka pepo hivi.
 
Inanibidi niseme nisiposema basi hawa mabinti watazidi kutamba na ku_spoil sifa za wanawake wengine wenye maadili na hekima njema....
Ni hawa mabinti wa Kilokole...
Utasikia naenda kwenye mkesha,naenda kwa mwakasego,naenda kwa gwaji..naenda semina ya vijana,
Lakini sasa!!!!!!Daaaaah
Acha leo tuwachane live.....
NI nyie nyie.....
1.mnao ongoza kwenda makanisani na kwenye majukwaa ya semina za kikanisa WAKATI kwenye ndoa zenu hamjitolei sawasawa

2.Mnaongoza kujipendekeza kwa kuheshimu wachungaji na wazee wakanisa Wakati waume zenu hata tone la heshima hamna

3.mnaongoza kwa matendo mabaya kuliko hata wapagani wasiomjua mungu...ni waongo,wanafiki,wasengenyaji,wasiosamehe,wenye chuki mioyoni mwenu...

4.
mwisho ni kuwa ndo nyie nyie mnaongoza kwa kuvunja ndoa kila siku..tena ndoa zenyewe zilighalamika kwa kila khal...daaaaah!!!Hivi hawa watu wana matatizo gani???

ngoja nisimalizie.....

Wadau malizieni.......

5. na ndio hao hao wanaliwa sana kwa siri na mwisho wa siku kujiuza kwa cover ya mkesha au semina kanisanii

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nami ni shuhuda wa hili.

Wengine kwao hajafanya chochote lakin asbuhi na mapema kwa Mchungaj kufua na kuosha vyombo na kulima piaa dash.


Alafu anasubir Mungu ampe maono ya mume mwema wish!!!!!


Ulijuaje khaah?!!

Yani mulemuleeee. ! Mimi nilishindwaga hizo mambo mimi naenda kusali tu na kurudi natoa michango kumikumi sijui hayo mambo mengine hata vikao sijui vya vijana mara wanawake baada ya ibada wabaki mara kusafisha kwa Mchungaj haaa Sinaga. Naonekana mkaidi.

Cc Smart911
 
Kuna vijana kanisani kwetu walipeana mimba... Walikua wanakwaya.... mchungaji akawafungisha ndoa ivoivo jamani khaah!! Makanisa yetu ya kilokole yameingiliwaaaa. Humo kwenye mikesha ya usiku majanga tu

Na binti mwingine kutwa kugombana na wazazi wake wanatoleana maneno mazito na mama yake cha kushangaza huyo binti anakesha kanisani anajifanya kuwa mbele kwenye kwenye mambo ya kanisa nyumbani hovyo

Cc Smart911
 
Kimsingi tuachr kuwananga waliokoka. Haya mavurugu hata wapagani wanayo. Jamaa hajaoa dini au dhehebu ameoa mke. Na yy ni mwanaume akomae kumdhibiti mke wake hata Biblia inatueleeza kusimamia nyumba zetu vzr. Someni waraka wa Paulo mtumr kwa timotheo uone sifa za mtu anayetaka kuwa askofu. Lazima ajur kuisimamia nyumba yake vema

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kuna vijana kanisani kwetu walipeana mimba... Walikua wanakwaya.... mchungaji akawafungisha ndoa ivoivo jamani khaah!! Makanisa yetu ya kilokole yameingiliwaaaa. Humo kwenye mikesha ya usiku majanga tu

Na binti mwingine kutwa kugombana na wazazi wake wanatoleana maneno mazito na mama yake cha kushangaza huyo binti anakesha kanisani anajifanya kuwa mbele kwenye kwenye mambo ya kanisa nyumbani hovyo

Cc Smart911
Uwa wanaitana wapendwa
 
Umesema wanavunja ndoa??? Sasa kwa imani yao ni mke mmoja mme mmoja . Wanavunja ili iweje ??? Nafikiri fanya utafiti tena au tumia nyezo nyingi zaidi kupata data
 
Sio wanawake WAROKOLE wote,kuanguka katika imani ni jambo lisilopingika,na ndio maana Yesu alisema hakuna aliye mtakatifu isipokuwa Mungu tu,kwahiyo usiache kumuabudu Mungu kwa kuhofia kuwa utaanguka dhambini.Ila pia usipokuwa mkamilifu usitegemee shetani atakuachia...

Sony Z3
 
Kuna kamoja nili kagegeda kama masihara nikastuka mkuyati wangu unahamishiwa tundu jirani nikakausha nilivyo maliza kaka shukuru kakasepa sasa nikajisemea Kimoyo moyo" haka sikanaimba mpaka kwaya hayo mambo kameyajulia wapi" sasa nakumbuka wakati nakafukuzia kalisumbua sana mpaka kukapata

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama mchungaji hajakukubali huelewi achilia wewe nahuyo mtu wako kupendana...

Mpaka mchungaji abarikiwe nawewe
Huyo ni mchungaji wako wewe si wachungaji wote. Ndo maana nili.sihi mtoa mada asipost vitu kwa jazba. Mfano nikikuuliza ww niambie ni wachungaji wa makanisa yapi tutajie hapa ambao ukitaka huduma ya kufunga ndoa utakataliwa kisa mchungaji hajarudhika na huyo mchumba wako. Hebu tutajie hapa tuache kuongea vitu kwa jazba na hisia. Yamkini tukawa tunawapinga kumbe mmeshafanya tafiti zenu na mda data za muaminika

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom