Hivi hawa wanawake wa kilokole(wafia dini) wana matatizo gani?

Demu wa kilokole ni shida wote wana mapepo wale na wenge flani hivi ujue kule kwa walokole wamejaa ma criminal yaliyoji organise kila mtu ana past chafu kule watu safi tumebaki mtaani
 
Aisee! Nimesoma huu uzi kisha ghafla imekuja taswira ya work mate mmoja mfia dini ofisini. Yaani almost uko right ila umesahau kitu kimoja -roho mbaya-

Then unajiuliza hivi dini ni kusoma vitabu, kuimba na kusali tu? Mbona matendo yao ni ya hovyo
 
Wangekua wanahudhuria semina za ujasiriliamali ni poa, lakini huko ni unafiki tu. Mchungaji anavuna sadaka hana Shida Ningekua na uwezo ningefutilia mbali ulokole
 
Inanibidi niseme nisiposema basi hawa mabinti watazidi kutamba na ku_spoil sifa za wanawake wengine wenye maadili na hekima njema.

Ni hawa mabinti wa Kilokole.
Utasikia naenda kwenye mkesha, naenda kwa mwakasego, naenda kwa gwaji naenda semina ya vijana, lakini sasa! Daaaaah!

Acha leo tuwachane live...

Ni nyie nyie...

1.Mnaoongoza kwenda makanisani na kwenye majukwaa ya semina za kikanisa wakati kwenye ndoa zenu hamjitolei sawasawa.

2.Mnaongoza kujipendekeza kwa kuheshimu wachungaji na wazee wakanisa wakati waume zenu hata tone la heshima hamna.

3.Mnaongoza kwa matendo mabaya kuliko hata wapagani wasiomjua Mungu, ni waongo, wanafiki, wasengenyaji, wasiosamehe, wenye chuki mioyoni mwenu.

4.
Mwisho ni kuwa ndo nyie nyie mnaongoza kwa kuvunja ndoa kila siku tena ndoa zenyewe ziligharamika kwa kila hali, daaaaah! Hivi hawa watu wana matatizo gani?

Ngoja nisimalizie...

Wadau malizieni...
Wanaongoza kwa kutembea na wachunga kondoo
 
Wanawake ni watu wa kusemwa tu jf trend zinabadilika kulingana na mada. Mara wapenda pesa,walokole,wenye misambwanda,single mothers, n.K.....cha ajabu hawabadiliki tu
 
Umesahau moja Mkuu, hawa wadada pia ni wachafu kupindukia.mlokole mmoja tuliishi nae hostel mwaka mzima hakuwahi kusafisha chumba na ukisafisha yeye ndio wakwanza kuchafua. Tulimuuliza akasema chumba atasafisha atakaeguswa,
 
Back
Top Bottom