Zamaulid JF-Expert Member May 25, 2009 18,654 13,475 Oct 24, 2012 #2 dunia hii ina mambo na watu wa ajabu!!!!!!!
Facilitator JF-Expert Member Oct 30, 2010 2,280 1,763 Oct 24, 2012 #3 Sasa hicho kidole cha kati cha nini??
bornagain JF-Expert Member Jan 25, 2012 3,383 1,354 Oct 24, 2012 #4 Mbona panga lenyewe ni butu hilo ltaweza kufanya chochote kweli
CaptainDunga JF-Expert Member Jul 17, 2009 1,567 1,375 Oct 24, 2012 #6 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Wanaigiza hao.
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 Oct 25, 2012 #9 an idle mind is the devil's workshop
Mkuu rombo JF-Expert Member Oct 18, 2012 1,556 422 Oct 25, 2012 #10 telitaibi said: kweli vichaa wengi uraiani Click to expand... aiseeee babaangu hata serekalini vichaa wapo wengi 2 au niwataje kwa majina!????
telitaibi said: kweli vichaa wengi uraiani Click to expand... aiseeee babaangu hata serekalini vichaa wapo wengi 2 au niwataje kwa majina!????
telitaibi JF-Expert Member May 2, 2012 551 106 Oct 25, 2012 #11 Mkuu rombo said: aiseeee babaangu hata serekalini vichaa wapo wengi 2 au niwataje kwa majina!???? Click to expand... ungekuwa umefanya la maana sana
Mkuu rombo said: aiseeee babaangu hata serekalini vichaa wapo wengi 2 au niwataje kwa majina!???? Click to expand... ungekuwa umefanya la maana sana
mmbangifingi JF-Expert Member Mar 9, 2011 2,839 559 Oct 26, 2012 #12 bornagain said: Mbona panga lenyewe ni butu hilo ltaweza kufanya chochote kweli Click to expand... Nadhani wanaigiza hawa,mbona hata aliyeshika panga butu haonyeshi userious
bornagain said: Mbona panga lenyewe ni butu hilo ltaweza kufanya chochote kweli Click to expand... Nadhani wanaigiza hawa,mbona hata aliyeshika panga butu haonyeshi userious
Cheche Mtungi JF-Expert Member Nov 14, 2010 2,619 771 Oct 26, 2012 #13 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Mambo ya Eid fITIR!
E EL MAGNIFICAL JF-Expert Member Jan 11, 2011 938 125 Oct 26, 2012 #14 binadamu hubuni hata ujinga zinapokosekana kabisa ajira.
JICHO LA TATU JF-Expert Member Sep 28, 2012 306 49 Oct 26, 2012 #15 wanacheza bwana siyo seriouz, mbona wa chini ametulia sana.