Hivi hawa wanapata wapi namba zetu?

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,088
Reaction score
72,506
kuna mwingine nae tena alinitumia mfano wa huo hapo ,,nikamtukana alinitukana hiyo akaniambia nimtumie majina yangu matatu kama hakuna uchawi maana nilimuambia kuwa hakuna uchawi ,,nikamuambia kama we mchawi sijui mganga si uroge tu mpaka majina yangu we si mchawi bana roga tu,akaniambia nitakuja nikubake SAA sita mchana nikamuambia poa karibu aisee,,mpaka Leo sijaona mtu wala non nikamkubusha mbona hajaja hahaa hajanijibu mpaka Leo,,msiamin haya mambo aise
 
Pengine na umri pia unachangia.

Ngoja siku upate misukosuko ya maisha halafu uone kama utawatafuta au laah.

Ila hao wanaotuma hizo texts ni matapeli ,lakini waganga wa kweli wapo na uchawi upo na hata kwenye vitabu vya dini vimethibitisha hilo.


Na hata wachungaji asilimia kubwa nao ni wachawi.
 
Tanzania kuna haja ya kusimamia vizuri umiliki wa simcard/laini

Upatikanaji wa laini/simcard umekuwa kirahisi sana ndo chanzo cha hayaa yote.
 
Mm jana nimepata msg ya mganga kwny no ya voda ananiambia mambo ya pete ya bahati sijui kumtuliza mpenzi nikamwambia mimi hata mpenzi sina
Mkuu mm mwenyewe kwenye no yangu ya Voda wanapenda sana kunitumia msg kama hizi
 
umeibiwa avatar yako au ndo ndumila kuwili? Hujambo lakini?
Yeah wameiba sio undumilakuwili na nilishatolea ufafanuzi kwenye ile thread yangu... Mimi siajambo aisee
 
Haaa matapeli hao na unaweza kuta ni watu unawajua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…