Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,255
..unapataje nafasi ya kuhoji au kukosoa uumbaji wa Mungu?
[emoji125] [emoji125] [emoji125]even for free sichukui!
We mbona huwa unakachekaga kale kajamaa kafupi cha mtaani kwenu,au hujui ni kazi ya Mungu ...........????..unapataje nafasi ya kuhoji au kukosoa uumbaji wa Mungu?
[emoji85] [emoji85] [emoji85]We mbona huwa unakachekaga kale kajamaa kafupi cha mtaani kwenu,au hujui ni kazi ya Mungu ...........????
Hapa ni Mr. & Mrs. ila wote wamevaa wigi ambalo ni lile lile na picha hizi si moja ni mbili zimeunganishwa. Boxer na maumbile ya miguu na mikono vinaonyesha dhahiri kuwa yule ni mwanamme ila umefanya hivi kuongea vibaya.
Mbona 'mipovu' kibao mamaa?!... uzi umekushona nini?!...wewe unafanywa kweli;
hao wachagga umewazaa weye.
Mathayo 16: 23 Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.