VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 676
Wakuu siyo mara ya kwanza kunitokea, leo tena nimeingiza vocha ya elfu mbili, ile naangalia tu salio nakuta mia sita! Sasa kwanzia leo naanza kutafakari kutumia huu mtndao wa mijizi, yaani mtu unajibana unanunua vocha halafu wao wanakuchakachua hovyo hovyo, au ndo kodi ya sim kila mwezi buku 1000? Huku siyo kutenda haki ,