Hivi hawa TISS 2015 hawakumuona Profesa Mussa Juma Assad?

Emanueli misalaba

JF-Expert Member
Dec 12, 2016
1,111
1,653
Profesa Mussa Juma Assad nimepata kumjua kiasi kipindi hiki cha mvutano wa Spkear Job Ndugai na yeye, kabla ya hapo nilimjua kwa mbali.

Nimeona msimamo wake thabiti dhidi ya haki, hekima na busara alizo nazo, stamina ya moyo nini ajibu na nini asijibu, uelewa mpana alio nao, ni mzalendo halisi dhidi ya rasilimali za taifa letu, ni mcha Mungu mwenye hofu ya Mungu nk nk.

Najiuliza hivi hawa TISS kwenye michakato yao ya kuamua nani atakuwa mrithi wa JK hawakumuona huyu Profesa?
 
Alikua tayari CAG hawezi kupewa wadhifa wowote mwingine serikalini.
 
Kitendo wa wewe kuwaza hayo wao waling'amua kitambo sana...lkn sio kila mtu lzm awe raisi wa nchi.kwa nafasi aliyo pewa amelisaidia taifa kwa kiasi kikubwa,wapo watu kama akina membe pia wametimiza wajibu wao kwa taifa...Naomba tu kujua mleta jumbe umewahi kilifanyia nn taifa lako?cha kujivunia
Kupost pumba Jf...
 
Back
Top Bottom