Ukitumia iphone au tecno mambo ni yale yale tu Jf mnaingia pamoja zote zinakubali vocha kuanzia jero au ndo mmekaririshwa na mabeberu kupenda vyao!Tecno na Samsung ni mtu na baba ake OS moja android, chaja moja tumia basi hata iphone 4 mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi natumia simu ya mama
Kanambia nikimaliza form four ataninunulia simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko anga ingine lakini asilimia kubwa za likes unazopata mainly unazitegemea kutoka kwa wenye tecno!Techno ndio kitu gani watu tupo anga ingine mkuuView attachment 980638View attachment 980639
Sent using Jamii Forums mobile app
Nshawah kutumia hii cmu J1 ACE yaan ilinitibua sana mkuu na automatically nlijikuta nazichukia simu hizi za samusun!!! Android yake even internal storage n ndogo mnoo kias kwamba huwez weka app zaid ya tano bila kujaa,kustack ndo yenyewe na hta camera yake ilikua ya kawaida mnoooooooo!! Nikaamua kuigawa bureeeee make ilikua inaniletea usiku tuuuTecno ndiyo simu gani mkuu tumia ata basi ka samsung j1 ase
Nasikia ina camera nzuri kuliko simu zote za tecnoMm natumoa TECNO CM iko poa mbona wakuu.?
Yaani unavyoisifia sumsung hata hiyo s7 edge utafikirii ni simu ya maana basi.
Ni simu ya kissenge sana aisees hiyo na zote tu za sumsung
Upo sahihi kuna baadhi zinakera sana
Me natumia wx3 original kabisa sijawahi jutia mkuu
yaah hata me natumia hyo iko vizuri hizo kelele sijui huwaga kwenye simu zipi za tecno
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaa Tecno bwana, nafikiri hapa ulitaka kuandika KALI imetoka qaliiMkuu sio tecno zote mbovu zipo qalii