Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

Hakuna kitu kama hicho mm nilisha tumia tecno ambayo nyinyi mnaona ndyo kali boom j8 lakini baada ya mda fulani ikaanza ukiitoa mfukoni unakuta imejipiga mara istaki nikaona ungese huo nikachukua mnyama samsung edge7 nakula maisha
 
Upo sahihi kuna baadhi zinakera sana

Me natumia wx3 original kabisa sijawahi jutia mkuu
 
Kuna tecno zimeingia hazina hata applicatins za gallery,fike manager etc
Unazungumzia simu kama hii au?
Gallery imeandikwa "Files" ina Google Go cleaner ndani yake.

Na file manager ipo ila utaipata ukifungua >>Settings>>Storage>>Explore
Screenshot_20181213-110557.jpeg
Screenshot_20181213-110603.jpeg
Screenshot_20181213-110634.jpeg
 
Back
Top Bottom