Hivi hawa ni Wamasai kweli?

Wamasai wakuchovya.
Hapo naona vijana wengi tu wa Tandika.
Mnakumbuka Yale maandamano mengine ya kuchovya kipindi kile Cha MTU yule aliyekwisha kutwaliwa.
 
Hii nchi bhana,!!

Nani aliwaandikia hayo mabango?

Mengine yameprintiwa kabisa.

Kuna posho imetembea hapo
Hao watu wa michongo wa serikali hawatumii akili.
Ni mmasai gani atachangisha wenzake ku print bango Kama hayo (white/red)
Wamekuja na usafiri gani toka Loliondo.
Serikali iweke mpaka kwenye ardhi yenu Tena muipongeze?
Hivi wanamdanganya Nani ?
Si ajabu TBC wakairusha hii habari.
Lkn pia police gani kawapa kibali Cha kuandamana?
 
Huu ujinga alikuwa anaufanya Magu, naona Samia naye kaamua kuuiga.
Maigizo ya kitoto sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…