Palestine Will be free
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,999
- 6,630
Halafu anakuja mtu kumlalamikia na kumtukana mama,,,haya sasa!!
mzukah mwingi! Maghayo mshkaji wanguTorvic mutu wangu inakuwaje?
Mmasai kaweka ear phones

Naona masai mbili hapo moja imevaa miwani juu ya macho na masai nyingine imeweka dredi 😂😂😂😂
Sidhani kama kuna wamasai wana muda wa kuandaa mabango kama hayo, hata kama ni wamasai watakuwa wamekusanywa wakapewa mtonyo na mabango ready made
Bora we dada yao useme, maigizo ni mengi sana,Wamasai ...kweli na ukweli huwezi mtoa eneno alilozaliwa kwa staili hii..ni ngumu mnoooo.
Na hii sio mmasai tu hata ingekuwa ni mchaga au mnyiramba.
Am so sorry to my government but this is beyond....!