Hivi hawa creative city homes sio matapeli????

Hivi hawa creative city homes sio matapeli????

Hapo hata kama sio matapeli ushawaharibia biashara

Ungeuliza hivi "mwenye kuwajua kopa nyumba atupe data zaidi"

Watanzania tupendane jamani
 
kwani ushatapeliwa mkuu?
naona kama unawachafua wenzio kwa kutokua na info za kutosha
 
Back
Top Bottom