hawa ni baadhi ya washiriki wa miss kagera, vipi wako bomba?
![]()
Wanaonekana kama wako kibiashara zaidi
HahahahahahahahahaDahhhhh we hapana Umenichekesha kwa kweliMmmmmmhhhh eti local brew hahahahaahalolHivyo vyote vinakunywa local brew. Ona midomo yao ilivyokaa kiwiziwizi tu.