Hivi Hata Kina Dada Huwa Mnaambiana

Ndallo

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
7,619
4,292
Naomba kujua kama hizi tabia tulizonazo sisi kina kaka pia kina dada nao huwa nao huwa wanaambianaga, kwa mfano utakuta vijana huwa wanaambianaga kua aisee yule demu anajua majambozi au yule aisee anajua hiki na kile kwenye ulingo wa mapenzi, je kina dada huwa pia mnaambianaga kua aisee yule jamaa ni mkali kwenye majambozi au hiki na kile kwenye sekta ya malovee? Nawasilisha.
 
Ushamba na ulimbukeni huo!!

Kujibu swali lako wapo wanaoongea sana, bila kujali anamwambia mwanamke mwenzake au mwanaume. Tena sio anasifia kiviiiile ila anaponda kinamna. Kuna dada mmoja hua nikimfikiria nachoka, yani anaongea mpaka anapitiliza kuongea.
 
Lakini sisi wanaume huwa tunaambiana sana tu! Sijui Lizzy nyie pia mnaambianaga kua jamaa alinishuhulikia kinoma au style fulani? kwetu sisi kama kawa mbona!
 
Lakini sisi wanaume huwa tunaambiana sana tu! Sijui Lizzy nyie pia mnaambianaga kua jamaa alinishuhulikia kinoma au style fulani? kwetu sisi kama kawa mbona!

Sijui kwasababu sipo kwenye hilo kundi la 'nyie'. . . Na sina marafiki wa kunihadithia mambo yao ya chumbani.

Ila ni ulimbukeni hivyo kama wewe ni mmoja wao ACHA ULIMBUKENI!!
 
Wapo wanaoambiana na wapo ambao kule kwa kungwi tulifundishwa ni marufuku kutoa siri za kitanda nje ya chumba unless unaongea na huyo mshirika wako....! wanawake wengine unawajua ukute mume wake hashughuliki vizuri ukimwambia naye si anaenda....!
 
naunga mkono hoja,
hairuhusiwi kbs kuyatoa ya chumbani barazan jaman ukimwambia muhusika inatosha! wanawake wa siku iz nouma sifia uone utajuta watamganda huyo mtu mmh.
kimaadili si mwanamke wala mwanaume anaeruhusiwa kutoa izo siri hadharani bs tu upunguani wao ndio unawatuma kusema ivo especially you boys ni sifa za kijinga izo mnakuwa mnatafuta.
 
Ukiona mtu anafikia hatua hiyo ya kuyatoa ya chumbani na kuyaleta barazani....muombee
 
naunga mkono hoja,
hairuhusiwi kbs kuyatoa ya chumbani barazan jaman ukimwambia muhusika inatosha! wanawake wa siku iz nouma sifia uone utajuta watamganda huyo mtu mmh.
kimaadili si mwanamke wala mwanaume anaeruhusiwa kutoa izo siri hadharani bs tu upunguani wao ndio unawatuma kusema ivo especially you boys ni sifa za kijinga izo mnakuwa mnatafuta.

Sawa kabisaa!
 
Sio busara kuongea mambo ya faragha hadharan,haijalishi ni kwa wanaume au wanawake.
 
Una yasema ili uweje? Yachumbani yachumbani ya nje ya nje labda uwe hujiamini na mshamba wa mambo .....
 
Since when mambo ya chumbani yakawa tangazo? Hao wanaofanya hivyo basi lazima waliruka stage flani ya ukuaji..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom