Hivi hapa dar kuna duka la huawei?

Hivi hapa dar kuna duka la huawei?

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,918
Reaction score
5,322
Wadau hivi hapa dar kuna duka linauza products za huawei pekeyake?? Shukrani

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Wana Ofisi yao Pale Jengo la Mwl. House. Ila sijui kama Products zao pia kama zinapatikana hapo. Ila Nnachojua huwa wanachukua Tenda ya kusaplai vifaa vyao Esp kwenye Makampuni Makubwa ya Mawasiliano. Kwa Individuals naona watu wakiwafuata huko Huko China na kwenda kuweka Order ya Bidhaa wanazozihitaji zikiwa katika Mfumo wa "Universal"

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom