Hivi hapa Airtel wako serious kweli?

Hivi hapa Airtel wako serious kweli?

Bahati mbaya nazo wameshazibania hatupati tena huku. Zilitusave sana

Wanavyuo na wale walio karibu na vyuo na baadhi ya maeneo yaliyochangamka kibiashara ndio wanaoendelea faidika

Airtel university Voucher.
 
Hebu nipe hiyo... Unajiungaje na kwa bei gani?

airtel uni 255 ni vocha maalum kwa wanavyuo na baadhi ya maeneo zinazopatikana kwa bei na mpangilio ufuatao;-

Airtel Uni Ya tsh 600/= unapata 1.2 gb, dk 55 airtel - airtel na dk. 5 mitandao yote,, sms bila kikomo na kupiga simu usiku bure kwenda Airtel 2 Airtel. (kwa masaa 48)

airtel Uni tsh 1500/= unapata dk. 150 za airtel kwenda airtel, na dk 5 mitandao yote + 1.2 gb za kuperuzi, sms bila kikomo (siku 7)
 
vifurushi vya zantel jamaa ningependa kujuzwa
 
airtel uni 255 ni vocha maalum kwa wanavyuo na baadhi ya maeneo zinazopatikana kwa bei na mpangilio ufuatao;-

Airtel Uni Ya tsh 600/= unapata 1.2 gb, dk 55 airtel - airtel na dk. 5 mitandao yote,, sms bila kikomo na kupiga simu usiku bure kwenda Airtel 2 Airtel. (kwa masaa 48)

airtel Uni tsh 1500/= unapata dk. 150 za airtel kwenda airtel, na dk 5 mitandao yote + 1.2 gb za kuperuzi, sms bila kikomo (siku 7)

Ooh! Nikajua kuna namna ya kujiunga mbali na hizo vocha maalum. Thanx
 
Kwa mda gani unapewa wiki au siku

Hii ni kwa wiki mkuu!! iko safi sana hasa kwa intenet yake, maduka ya vocha zipo, hata vyuoni hasa kama una mtu aliye chuoni anaeza kukutumia namba za vocha.
 
Ipo mbona,labda kama walikosea wao ila mpaka leo ipo.
 
basi kama unajua duka lipi hilo tuelekezane mkuu.....hawa airtel omg zinatuua huku

Kama uko karibu na chuo ingia maduka ya ndani ulizia vocha za UNI 1500/=, au nenda maduka ya mijini pia wanazo au wauza vocha ni buku mia tano
 
Yani nitawahama haraka sana kama ni mtaji wa kampeni imekula kwao
 
Hata mimi nlitaka kuweka uzi hapa. Airtel wameniboa kweli tigo nayo Internet Yao sijui ipoje hainifikishi kileleni kabisa..... Ngoja njaribu zantel aliyosema mdau hapo juu

Kumbe tigo nayo majanga..khaa
 
Back
Top Bottom