Tatizo ttcl nao huku nje ya mji ni tatizo kupatikana.
Tumia broadband mkuu. Kichwa cha simu sh 23,000 tu unakula mibata ya TTCL
Tatizo ttcl nao huku nje ya mji ni tatizo kupatikana.
Naona kuna mabadiliko tena ya vifurushi na hii hapa nimekutana nayo wakati naperuzi vifurushi vyao, are they really serious?

Duuh imekuwa buku tatu 3000.
Mwisho wa yooote, nunua vocha za UNI za airtel kwa 1500/=Yaani nimechoka wameamua kuongeza bei kimya kimya makalio yao
Ngoja nihamie zantel
Mwisho wa yooote, nunua vocha za UNI za airtel kwa 1500/=
Dakika 140 za airtel to airtel
Dkika 5 mitandao yote
Na intenet bandle ya 1GB (hapa ndipo nilipopenda)
Nadhani pia wana service ya kuchagua bandle unalopenda!!

enheeeeee......hiyo buku kwa wiki una pata gb ngap.....halaf npe jinc ya kujiunga....
hebu tupe mambo huko yapoje?
..are you serious...buku wiki nzima!
Hawa walikua wanatoa 1GB kwa pamoja, sasa hivi wamebadili wanakupa MB 700 na kila asubuhi wanakupa extra 50 MB za nyongeza, kwa hiyo inakuja ile ile 1 gb kwa wiki. Kujiunga piga *149*07#
Mwisho wa yooote, nunua vocha za UNI za airtel kwa 1500/=
Dakika 140 za airtel to airtel
Dkika 5 mitandao yote
Na intenet bandle ya 1GB (hapa ndipo nilipopenda)
Nadhani pia wana service ya kuchagua bandle unalopenda!!
Wamebana kote kote!
Ntaendelea kula raha zantel kwa buku langu tu wiki nzima!