KKama dhana yako ni kuwa mbunge anawakilisha chama hauko sahihi. Chama ni tiketi tu, wananchi ndiyo wanaowakilishwa hivyo kwa taarifa yako Hamad Rashid hajawahi kukataliwa na wapigakura wa jimbo la Wawi
K
Kwa mujibu wa Katiba ya Tz ya 1977 MBUNGE ANAWAKILISHA CHAMA CHAKE NA WALA SIO WAPIGA KURA WAKE.
Hebu jiulize je Mh Zitto Kabwe alikataliwa na wapiga kura wake au chama chake?
huwezi kusaliti chama kilichokulinda na ukaangaliwa tu , USALITI NI LAANA MBAYA SANA !Kama dhana yako ni kuwa mbunge anawakilisha chama hauko sahihi. Chama ni tiketi tu, wananchi ndiyo wanaowakilishwa hivyo kwa taarifa yako Hamad Rashid hajawahi kukataliwa na wapigakura wa jimbo la Wawi
mengine unaweza kutafuta mwenyewe mkuu , si kila kitu ulishwe tu .kuitaja tu katiba ya JMT ya mwaka 1977 hakufanyi hoja yako kubadili ukweli wa mambo, na kama katiba inasema hivyo hebu taja hiyo ibara inayosema hivyo.
mkuu kwa niaba ya familia yangu ya tandika mwembeyanga nakushukuru .K
Kwa mujibu wa Katiba ya Tz ya 1977 MBUNGE ANAWAKILISHA CHAMA CHAKE NA WALA SIO WAPIGA KURA WAKE.
Hebu jiulize je Mh Zitto Kabwe alikataliwa na wapiga kura wake au chama chake?
Chichiemu mkuu
Wapuuzi kama wewe hamnishangazi tena...yaani kama taifa tumeamua kuwafuga na kuwalea wapuuzi. JF nayo sasa imeingia kichwa kichwa kuwalea wapuuzi kama hawa. Kwani umeshindwa nini kuitafuta hiyo katiba unayoitaja ujisomee mwenyewe sifa za kuwa mbunge, I really hate people of your type.kuitaja tu katiba ya JMT ya mwaka 1977 hakufanyi hoja yako kubadili ukweli wa mambo, na kama katiba inasema hivyo hebu taja hiyo ibara inayosema hivyo.
asante kwa kututonya mkuu .Huyu alifukuzwa CCM miaka ya 80 hawezi kuwawakilisha. Ana bahati mbaya ya kufukuzwa na vyama anavyojiunga. atamaliza vyama vyote nchi hii