Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,422
kama chama ni tiketi na ubunge ni basi, jamaa mbona hana tiketi ila yumo kwenye basi kwa nini konda asimshushe
Hawezi kumshusha sababu anamsaidia KONDA kudai NAULI.............
kama chama ni tiketi na ubunge ni basi, jamaa mbona hana tiketi ila yumo kwenye basi kwa nini konda asimshushe
K
Kwa mujibu wa Katiba ya Tz ya 1977 MBUNGE ANAWAKILISHA CHAMA CHAKE NA WALA SIO WAPIGA KURA WAKE.
Hebu jiulize je Mh Zitto Kabwe alikataliwa na wapiga kura wake au chama chake?
kuitaja tu katiba ya JMT ya mwaka 1977 hakufanyi hoja yako kubadili ukweli wa mambo, na kama katiba inasema hivyo hebu taja hiyo ibara inayosema hivyo.