Hivi hamad rashid anamwakilisha nani bungeni ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,092
Reaction score
285,762
kama ni kweli nchi hii inaongozwa na utaratibu maalum ( sheria ) huyu mzee afukuzwe bungeni haraka sana , kumesikika maneno kwamba atagombea urais wa zanzibar kwa tiketi ya ADC , huku si kujivua uananachama wa cuf kwa hiyari yake ? analindwa na nani , na kwanini analindwa ?
 
Kukujibu swali lako la msingi Hamad Rashid anawawakilisha wapiga kura waliompa ushindi Jimboni kwake.
 
kama ni kweli nchi hii inaongozwa na utaratibu maalum ( sheria ) huyu mzee afukuzwe bungeni haraka sana , kumesikika maneno kwamba atagombea urais wa zanzibar kwa tiketi ya ADC , huku si kujivua uananachama wa cuf kwa hiyari yake ? analindwa na nani , na kwanini analindwa ?

kweli we hayawani, hujui kama anawakilisha wananchi wa jimbo lake waliomchagua
 
Wapiga kura wake ndio wanao mlinda!
 
Kumesikika? Wakati anatangaza Bungeni ulikuwa unasinzia au ulikuwa bize na kubeti?
 
Nyie ndipo wafia CHAMA hamjui kuwa HR amechaguliwa na wananchi wake , au unafikiri kafu ndo iliyomchagua
 
kumbe ni kweli ! sasa katiba yetu ya viraka inasemaje kwa mtu kuwa na kadi 3 za vyama vya siasa ?
 
Nyie ndipo wafia CHAMA hamjui kuwa HR amechaguliwa na wananchi wake , au unafikiri kafu ndo iliyomchagua
vipi kuhusu udhamini wa chama cha siasa ( cuf ) alichokitumia kugombea ?
 
Wapiga kura wake ndio wanao mlinda!

nidhamu kwa chama chake ni muhimu sana , hatuwezi kufuga wasaliti , kama katangaza kuhamia adc bungeni anasubiri nini ? kwanini anasigina katiba ya nchi ?
 
kweli we hayawani, hujui kama anawakilisha wananchi wa jimbo lake waliomchagua

Alikuwa anawakilisha wananchi watu jimbo lake enzi zile ila sio sasa maana hata wananchi wake hawamtambui tena na hadi leo wanailalamikia CUF kwanini wakmwachia Hamad Rashid agombanie Ubunge wakati wao hawakumchagua katika kura za maoni mwaka 2010
 
Kama dhana yako ni kuwa mbunge anawakilisha chama hauko sahihi. Chama ni tiketi tu, wananchi ndiyo wanaowakilishwa hivyo kwa taarifa yako Hamad Rashid hajawahi kukataliwa na wapigakura wa jimbo la Wawi
 
Back
Top Bottom