Hivi! Halafu mbele ya watoto

Hivi! Halafu mbele ya watoto

Daah😱😱 ukiwa na mzazi kama huyu unawezajikuta umekuwa mkimbizi.
 
Ukitaka kuheshimiwa anza wewe kujiheshimu,kwa staili hii ni dhambi wanawake kulalamika kutoheshimiwa,anzeni kwanza kujirekebisha ninyi kwa ninyi ndo mdai kuheshimiwa

Kwa nini ufanye majumyisho kana kwamba wanawake wote ndiyo wanayoyafanya?
 
Back
Top Bottom