kinepi_nepi
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 869
- 239
Hivi Tanzania hakuna habari yeyote njema au nzuri inayotokea. Kila post imejaa mabaya ya nchi. Kuanzia utawala mbovu na uchumi usiofaa. maisha magumu na uonevu. Wizi , ufisadi, rushwa na kutokuwajibika. Kamatakamata, mauaji, uvamizi wa rasilimali, kushindwa kwa viongozi nk.
Je hakuna jema hata moja Tanzania?

Lipi sasa liweke hapa tulione mkuu...Hivi Tanzania hakuna habari yeyote njema au nzuri inayotokea. Kila post imejaa mabaya ya nchi. Kuanzia utawala mbovu na uchumi usiofaa. maisha magumu na uonevu. Wizi , ufisadi, rushwa na kutokuwajibika. Kamatakamata, mauaji, uvamizi wa rasilimali, kushindwa kwa viongozi nk.
Je hakuna jema hata moja Tanzania?
Unaweza kuumiza kichwa kufikilia mazuri maana kama yapo ni machache mno...Tanzania yetu mazuri yapo ila mabaya yefunika mazuri yetu so inabidi tujadili hayo mabaya yapatiwe ufumbuzi.