donlucchese JF-Expert Member Mar 23, 2011 17,047 21,523 Jun 27, 2021 Thread starter #21 Chief-Mkwawa said: Hii itabidi kampuni wenyewe ndio wa develop, na kuwe na encryption ya maana, sababu watu wanaweza kuiba vocha hata kabla haijakwanguliwa. Click to expand... Hapo sahihi mkuu
Chief-Mkwawa said: Hii itabidi kampuni wenyewe ndio wa develop, na kuwe na encryption ya maana, sababu watu wanaweza kuiba vocha hata kabla haijakwanguliwa. Click to expand... Hapo sahihi mkuu
Smart911 Platinum Member Jan 3, 2014 119,502 142,222 Jun 27, 2021 #22 Inawezekana, ila itakuwa kwa wenye smartphone, wenye vitochi itakula kwao...
mathsjery JF-Expert Member Sep 26, 2015 2,208 1,755 Jun 27, 2021 #23 donlucchese said: Salam wakuu, Hivi kwa nyie wenzetu developers, hakuna uwezekano wa kudevelop app ambayo vocha badala ya kukwangua una scan barcode inaingia fasta. Click to expand... Wakuu bado wanaweka vocha kuna bro huwa namuhurumia yaani yeye eti bado anakwangua vocha
donlucchese said: Salam wakuu, Hivi kwa nyie wenzetu developers, hakuna uwezekano wa kudevelop app ambayo vocha badala ya kukwangua una scan barcode inaingia fasta. Click to expand... Wakuu bado wanaweka vocha kuna bro huwa namuhurumia yaani yeye eti bado anakwangua vocha
racka98 JF-Expert Member Jul 7, 2020 1,041 1,530 Jun 27, 2021 #24 donlucchese said: Wizi kivipi mkuu? Click to expand... Ssa bar code ile si ipo visible. Watu si wata scan bar code na kufanya vocha ziwe useless. Vocha kuanzia zitoke from provider mpka zifike kwa mtumiaji zinapitia mikono mingi. Hapo kati kati watu watascan hzo code na watu watauziwa vocha zilizotumika
donlucchese said: Wizi kivipi mkuu? Click to expand... Ssa bar code ile si ipo visible. Watu si wata scan bar code na kufanya vocha ziwe useless. Vocha kuanzia zitoke from provider mpka zifike kwa mtumiaji zinapitia mikono mingi. Hapo kati kati watu watascan hzo code na watu watauziwa vocha zilizotumika