hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,919
Ktk vitu ambavyo vinaniuzi kwenye computer ni kila siku kupiga window.
Naomba kuuliza. Hivi hamna computer ambazo haziingii virus kabisa?
Kwasababu hizi zingine hata ukiweka [emoji220] virus
Unakuta kuingia virus ni pale hapo inamaana tatizo linakuwa nini?