Hivi hadi uitwe MALAYA ni vitu gani uvifanye?

Maalim Jumar

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,259
117
Naomba msaada Great Thinkers!
Kuna baadhi katika jamii wanaitwa Malaya...lakini wenyewe jina hilo hawalipendi asilani.
Sasa najiuliza kwani ni vitu gani ukifanya ndio unakua Malaya?
Mod naomba asini-BAN...imebidi nitumie jina hilo hilo hata kama kuna neno lake lenye tafsida. Ila mimi silijui.
Nisaidieeeeeeennniii!
 
Kwanini usiwaulize hao wanaowaita wenzao hivyo?Wao ndo watakupa jibu unalolitaka!
 
Naomba msaada Great Thinkers!
Kuna baadhi katika jamii wanaitwa Malaya...lakini wenyewe jina hilo hawalipendi asilani.
Sasa najiuliza kwani ni vitu gani ukifanya ndio unakua Malaya?
Mod naomba asini-BAN...imebidi nitumie jina hilo hilo hata kama kuna neno lake lenye tafsida. Ila mimi silijui.
Nisaidieeeeeeennniii!

Nomino
malaya
mwanamke anayeuza mwili wake kwa wanaume kimapenzi

Tafsiri ndiyo inayo maanishwa mara nyingi neno hilo linapotajwa, lakini maana yake ni pana zaidi ya hapo. Inaweza kuhusu mwanaume au vitu.

Maana halisi ya Malaya ni "inayotumika kwenye vitu vingi", Kwa mfano kuna spana malaya inayoweza kufungua nati nyingi. Sina hakika kama ni sawa na neno la kiarabu fuska.

Lakini inategemea pia linazungumzwa wapi na anazungumza nani. Kuna wengine kugawa mwili wake kwa biashara ni umalaya, wengine huwa wanagawa mwili ovyo kwa tamaa zao za ngono, kutofautisha hawa wawili ndio maana kukawa na neno kahaba.
 
Kuna aina nyingi za malaya

  1. Wa Kisiasa
  2. Kiume
  3. na wakike
Nadhani wote hawa wana tafsiri tofauti
 
So unamaanisha wale ma ustaadh wanaooa mke zaid ya mmoja ni malaya pia

Hapana hawa ma Ustaadhi sio malaya wao ni wana ndoa, ukiwa ndani ya ndoa hufanyi ngono unafanya tendo la ndoa, ila unapo kua nje yandoa ni unafanya ngono , hapo ndio una qualify kuitwa Malaya.
 
Hapana hawa ma Ustaadhi sio malaya wao ni wana ndoa, ukiwa ndani ya ndoa hufanyi ngono unafanya tendo la ndoa, ila unapo kua nje yandoa ni unafanya ngono , hapo ndio una qualify kuitwa Malaya.
Umenitosheleza! Endelea tena kunipa ufafanuzi!
Happy New Year 2011.
 
Kiherehere unatafuta BAN kipindi hiki cha mwisho wa mwaka. Si vizuri kumtusi mtu hapa JF (kwa mujibu ea sheria za JF)
jina lake mwenyewe tu "kiherehere" linatosha kumuonea huruma ingawa kafanya name calling
 
Back
Top Bottom