Hivi hadi uitwe MALAYA ni vitu gani uvifanye?

Maswali mengine bwana!Unataka kujua kama umefikia kiwango?Piga hesabu ya uliokua nao na sababu zilizokusukuma kua nao...maana unaweza ukawa umetembea na wengi bila kukusudia katika harakati za kumtafuta anaekufaa!


Mimi nilitembea na kama ishitini hivi, ila mwishoni nikampata anayenifaa.
 
Back
Top Bottom