Hivi Google wana ofisi Bongo?

obakunta

JF-Expert Member
Nov 19, 2018
253
262
Nimekumbana na tatizo la mfumo wa Google kugomea kadi zote ninazozitumia, nimejaribu Mastercard prepaid/credit/debit zote hazikubaliwi, nimeomba hata za marafiki lakini wapi, imenibidi nianze kusaka ofisi zao Tanzania, ila sijafanikiwa siku mbili sasa natafuta na kuuliza wadau.

Naombeni wadau wa humu JF mwenye ufahamu wa hili anishauri wapi pa kwenda, na kama uliwahi kukumbana na tatizo la kadi ya malipo kwenye mfumo wa Google, hatimaye ulifaulu na kutatua kwa kutumia njia ipi?
 
Ukishindwa kupata ofisi za Google we Google tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye swala la online payments bongo bado sana, hizo cards zinakataliwa kwa sababu terms za issuer wa hizo kadi haziendani na za google. Tafuta rafiki yako mwenye pioneer acc akulipie
 
Shukrani, je kuna usumbufu wowote kuipata hiyo pioneer account mwenyewe?
 
Back
Top Bottom