MTENDAHAKI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,013
- 1,448
Kapenda upande wa pili, lakini umruhusu ahudumiwe na upande wa kwanza wa helaSasa huyu atakua kanipendea nini mimi maana hela sina ndio maana niliona sitaweza kumtunza huyu mrembo kwa mizinga yake nikaamua kuvunja mahusiano.