Najua kuna kitengo kinacho itwa financial intelligence unit kushughulikia utakashishaji wa hela au vitendo vinavyo elekea huko, lakini kwa bahati mbaya sijasikia kesi au tuhuma zozote zilizogunduliwa na hicho kitengo , kiasi kwamba naona labda nao ni sehemu ya tatizo au wafanyakazi wake hawana ueledi wa kufanya hiyo shughuli au uongozi wao ndio tatizo .