Makusudically
JF-Expert Member
- Feb 3, 2014
- 2,201
- 1,232
- Thread starter
- #81
Kama hujui Historia ya ujenzi wa uwanja wa KIA shauri lako. Shule ulikwepa sasa leo unalazimisha twisheni. Toa hela ufundishwe. Unatoa povu weeeeeee. Eti mwaka, koma, waulize Chadema.Hujajibu maswali yangu mawili. Mimi sitaki mipasho ya taarabu nahitaji majibu. Mwaka wa ujenzi wa uwanja wa KIA na sababu za kujengwa uwanja ule. Mipasho kwenye chit chat.