Mwalupale
JF-Expert Member
- Apr 29, 2012
- 1,049
- 672
Admin naomba huyu mleta mada apigwe ban asipotuthibitishia kwamba uwanja wa KIA ulijengwa bila bajeti yake kupitishwa na bunge. Tujifunze kukinzana kwa hoja zenye ukweliKiongozi hata kama zikipitishwa Trilion 1,000 shida iko wapi kama Uwanja huo ni kwa manufaa ya Watanzania wote, kana faida ni kwa kikundi cha watu au mtu mmoja hapo litakuwa kosa baya na kubwa sana. Tuache Ushabiki, Uwanja wa KIA mbona fedha yake haikupitishwa na Bunge na bado hakuna anayelalamika? Tuache Ubaguzi wa Ukanda.